WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA YATWAA UBINGWA WA JUMLA MEI MOSI 2026


Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) imeng’ara katika mashindano ya Mei Mosi 2026 baada ya kutwaa vikombe 7 kati ya michezo 12, na hivyo kutangazwa kuwa Mabingwa wa Jumla katika mashindano hayo ya kitaifa yaliyofanyika mkoani Njombe mwaka huu. 

Pichani ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi kombe la ushindi kwa Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho (Mb) ambaye amepokea kwa niaba ya wizara na kuwapongeza wanamichezo wote kwa uzalendo na kujituma kwao.

Post a Comment

Previous Post Next Post