Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na
mshambuliaji #KylianMbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni
siku chache zimepita tangu itume barua ya kuhitaji saini ya nyota huyo
Mbappe
aliyebakiza mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia #PSG, amedaiwa kutotaka
kuongeza Mkataba Klabuni hapo, kitendo kilichotafsiriwa kuwa yuko
tayari kuondoka huku akitajwa huenda akajiunga na #RealMadrid
Hata
hivyo, licha ya dau hilo, Mbappe hajazungumza lolote au kuonesha kama
ana mpango wa kwenda kucheza katika Ligi ya Saudi Arabia