"Watu wote wanaoshawishu vurugu hawapo Tanzania, waliomia kwenye madhara kwa maana ya kuathirika kwa vurugu wapo Tanzania"
"Watanzania tushirikiane na tupaze sauti kuiambia dunia kwamba tunafahamu kinachoendelea , tunatka Marekani ieshimu uhuru na mamlaka ya Tanzsnia, tunaweza kujiendesha na tunafahamu yupo muarifu ambaye ni Mangi Kimambi amejificha marekani, tunatambua wao wanapambana na waharifu na mwarifu mmojawapo ni Mangi yupo kwenye ardhi yao, wamrudishe kwakuwa amekuwa sehemu ya kuchochea vurugu nchini"
"Mangi amekiri kwamba kitendo cha meta kuzuia akaunti zske kimekwamisha kuzuia vurugu za Disemba 9 pia amewashukuru wakenya na kusema waendelee kuwasaidia kama wanavyowasaidiaga kwa maana tunajua wanaowatunza hao akina HildaNewton wapo Kenya na wanahusika na machafuko..tunaitaka Kenya na wao kutoa ushirikiano wao katika kuwakamata waharifu hawa"
