DKT. BITEKO ASHIRIKI SHEREHE YA KUWEKWA WAKFU NA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA JIMBO LA MAFINGA.


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto  Biteko leo anashiriki Sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo jipya la Mafinga, Ndg. Vincent Cosmas Mwagala.

Sherehe zinafanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Kiaskofu jimboni Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

Jimbo hilo jipya la Mafinga limezaliwa kutoka Jimbo la Iringa.

Post a Comment

Previous Post Next Post